Jumatano, 22 Januari 2020

Tunataka kurudi - tunatafuta watu wa kujitolea

Bwana Yesu asifiwe!

Hakuna kitakachokwenda pasipo ya kuwepo watu wanaojidhabihu.

Tunawaombeni tuwepo maeneo haya nayo na kufikia hatua ya kuweka jumbe za siku, matangazo, mlango wa siku unaCopy kule wasap na kuweka humu nk

Habari za mafanikio, uzao, safari, taarifa zote, tuweke humu.

Picha ya leo ni kijana aliyepata Div 1 akiwa amebebwa juu juu kumpongeza

Jumatatu, 2 Novemba 2015

Tractor mpya yazinduliwa GCC, Familia ya Ligoha

                                              Mchungaji wa GCC akiibariki hii Tractor


                                        Ukitaka kulima, tafadhali, kitendea kazi chetu hii hapa

Kijana wa Kituoni mwenye wazo la kuwa na gerej.

                                Kijana Emanuel alipotembelewa na watendakazi nyumbani kwao

Baba na kijana wake wakubaliana Seti ya spanner inunuliwe na kituo ili kijana aanze kazi mara moja

Mchungaji wa GCC akizindua gari jipya la Mama Mneney