Jumatano, 22 Januari 2020

Tunataka kurudi - tunatafuta watu wa kujitolea

Bwana Yesu asifiwe!

Hakuna kitakachokwenda pasipo ya kuwepo watu wanaojidhabihu.

Tunawaombeni tuwepo maeneo haya nayo na kufikia hatua ya kuweka jumbe za siku, matangazo, mlango wa siku unaCopy kule wasap na kuweka humu nk

Habari za mafanikio, uzao, safari, taarifa zote, tuweke humu.

Picha ya leo ni kijana aliyepata Div 1 akiwa amebebwa juu juu kumpongeza