Jumatano, 3 Juni 2015

Mgeni huyu akatutembelea GCC May 31, 2015

Unamfahamu?
Mgeni mwenyewe - taja jina

CMF wakimtuza mgeni


Wanaume wa GCC wakiselebuka
Mchungaji Lubuva akamtembeza Mgeni wetu kule Meserani Snake Park .....Ona na picha zingine hapa chini


Hawa jamaa nao walikuwa mashahidi wa ubunifu wa Meserani Snake Park ---- Nyoka, ndege, tumbili, mamba, kobe, kanga, panya, kuku, ngamia, utamaduni wa wamasai, hoteli, malazi, duka, ...... Ni ubunifu







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni