Jumatano, 10 Juni 2015

Wiki hii June 8 - 13, 2015

Mzee wa Zamu ni Godfrey Kimathi

Shemasi ni Debora Mhinjo.

Mbali na watoto kula chakula pamoja leo mara baada ya ibada hii na kutembelea snake park, matangazo mengine yote ya wiki iliyopita, bado yanataka utekelezaji

Ile semina kubwa ya vijana hapa GCC itaanza June 12 - 14, 2015
Ijumaa ni saa 10 jioni
Jumamosi ni siku nzima
na Jumapili ni saa10 jioni
Wazazi mnatiwa moyo kuwahamasisha vijana wahudhurie semina hii

Wiki hii (Jumatano) tunahitimisha ufundishaji wa misingi 16 ya imani yetu ili ibada ya cell ijayo, June 16, 2015 itumike kwa ajili ya kuanza kujifunza msingi wa kwanza kwa undani - washirika wetu wote tunawaomba mjitahidi kujua misingi hii 16 ya imani yetu

Kama ambavyo mwalimu huyu anavyojitahidi kumpa mwanafunzi huyu elimu kwa fimbo, kwasababu alifeli, kadhalika elimu yenye mafundisho ni gharama hivyo lazima kujitahidi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni