Ijumaa, 10 Aprili 2015

Mshindi No. 1 wa kutaja vitabu 66 za Biblia

Mchungaji Kiongozi aliandaa zawadi kwa washindi 10 watakao weza kutaja vitabu vyote 66 za Biblia.
Majaji walikuwa Mchungaji Mwandamizi na wazee wa kanisa
Mwendeshaji wa zoezi ni Justine Samson
Zoezi lilikuwa na changamoto ya kumpata mshindi kwani watu wengi walikuwa wamejiandaa
Hatimaye mchujo uli...

Mshindi huyu hapa ...... Tutajie jina lake kwenye nafasi ya maoni hapo chini

Washiriki wengine waliofanya vizuri ni hawa hapa




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni