Jumatatu, 11 Mei 2015

Matangazo ya Wiki hii

1. Mzee wa Zamu ni F. Jabu (0755 067625) na mashemasi ni A. Ngowi (0756 545999) na P. Chapa (0786 080318)

2. Trh 14-15/05/2015 ni semina kubwa ya ujasiriamali na kujengana uwezo. Ni hapa GCC saa 10 jioni kila siku

3. Waalimu wa Watoto mnakumbushwa kuhusu wiki yenu ya watoto Trh 25-31/05/2015

4. Uongozi wa CA's pamoja na mkesha wenu mkubwa ijumaa hii ambao utakuwa wa kufunga kwa saa 24 (hii inahusu kanisa zima), mnakumbushwa kuwasiliana na Mchungaji kuhusu ukamilishaji wa maandalizi ya semina kubwa ya Vijana Trh 12-14/06/2015 ni hapa hapa kanisani

5. Wazee wa kanda wote mnakumbushwa kutekeleza kwa vitendo kuhusu viti vya plastic - kila mzee wa Kanda anajua idadi ya viti kwa kanda yake

6. Tunawakumbusha vyote mlioahidi kuhusu Kontena toka HongKong kuwa muda umesonga na kila mmoja ajitahidi kukamilisha ahadi yake. Katibu wa Kanisa kesho atamtumia kila mmoja wetu sms kukukumbusha kiasi ulichoahidi na kiasi ulichotoa

7. Tunawakumbusha kushiriki ipasavyo ibada za cell, kutoa zaka na dhabihu pamoja na ushuhudiaji wa mtu mmoja kama tulivyokubaliana

8. Idara ya uinjilisti mnakumbushwa kumalizia kuwasiliana na Mchungaji kuhusu maandalizi ya mkutano wa nje unaoanza Trh 24/06/2015

Maoni 1 :

  1. tunashukuru kwa blog hii ya kanisa waumini tulio mbali tunapata habari

    JibuFuta